KAROLE KASITA ADAI HATAKI KUSIKIA HABARI YA HARUSI KWENYE MAISHA YAKE
Msanii wa muziki wa dancehall kutoka nchini uganda Karole Kasita amefunguka na kudai kwamba hataki kabisa kufunga ndoa kwa njia ya harusi. Karole kasita amesema hana imani tena na…