INSTAGRAM YAWEKA UTARATIBU WA KUHAKIKI UMRI WA WATUMIAJI WAKE
Instagram ni app ambayo inataka watumiaji wote wawe na umri wa miaka 13 na kuendelea. Akaunti za watoto ambao wana umri chini ya hapo zitakuja kudhibitiwa. Instagram ina utaratibu maalum…