JACK HARLOW ATANGAZA KUWASAINISHA WANAWAKE MKATABA KABLA YA KUTOKA NAO
Rapa kutoka nchini Marekani Jack Harlow ameweka wazi kwamba ataanza kuwasainisha Wanawake mikataba maalum ya makubaliano kabla ya kuingia penzini. Akizungumza na Jarida la GQ, Jack Harlow amesema itabidi mwanamke…