Chameleone adokeza mpango wa kubuni bendi ya muziki ya familia
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amefichua mpango wa kuunda bendi ya familia itakayojumuisha ndugu zake, Pallaso na Weasel. Katika mahojiano hivi karibuni, Chameleone ameeleza kuwa watatu hao bado wapo…