JUMA NATURE ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA
Msanii mkongwe wa Bongofleva, Juma Nature amesema anajiandaa kuachia albamu yake mpya ambayo imekamilika. Nature amesema anachokifanya kwa sasa ni kutayarisha video kadhaa za nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo kabla…