JUSTIN BIEBER ATHIBITISHA MPANGO WA KUPATA MTOTO NA MKEWE HAILEY BALDWIN MWAKA HUU.
Staa wa muziki wa Pop duniani Justin Bieber anataka mtoto sasa, amefunguka hadharani. Kwenye Documentary mpya (Justin Bieber: Our World) iliyoruka kupitia Amazon Prime, Justin Bieber amemwambia mkewe Hailey…