Kalifah Aganaga akerwa na kitendo cha Catharine Kusasira kujidhalalisha mbele ya umma
Mwanamuziki wa dancehall kutoka nchini Uganda Kalifah Aganaga amesikitishwa na kitendo cha Catherine Kusasira kuangua kilio hadharani kwenye mahojiano yake hivi karibuni kutokana na ugumu wa maisha. Kwenye mahojiano na…