KANYE WEST AFUNGULIWA MASHTAKA JUU YA BIDHAA ZAKE ZA YEEZY
Mamlaka ya mji wa California imemshtaki Rapa Kanye West kwa kile kilichoelezwa kwamba amevunja sheria za usafirishaji wa mizigo ambapo anadaiwa kuchelewesha bidhaa za YEEZY (shipping delays) ambazo watu huagiza…