KANYE WEST MBIONI KUZINDUA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA VIFAA VYA KITEKNOLOJIA
Baada ya kukuvalisha viatu na mavazi ya aina yake kupitia chapa ya Yeezy, Kanye West yupo tayari kukuletea vifaa vya kiteknolojia. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, Kanye ameripotiwa kulisajili…