Kanye West atuhumiwa kuvunja simu ya shabiki
Rapa Kanye West ametajwa kama mtuhumiwa katika uchunguzi wa tukio la kihalifu. Hii inakuja mara baada ya kusambaa kwa video ikimuonesha Kanye akijibizana na paparazzi pamoja na shabiki. Video hiyo ilionesha kuwa…