Khaligraph Jones kuzuru Australia mwishoni mwa mwezi huu
Siku chache baada ya kufanya shoo yake nchini Sierra Leone, Rapa Khaligraph Jones ametangaza show nyingine ya kimataifa nchini Australia mwishoni mwa mwezi huu. Kupitia mitandao yake ya kijamii amesema…