King Saha aahirisha tamasha lake kutokana na matatizo ya kiafya
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha ameripotiwa kuahirisha tamasha lake la muziki ambalo lilipaswa kufanyika siku ya wapendanao duniani, Februari 14 mwaka 2023. Duru za kuaminika zidai kuwa mratibu wa…