KRG The Don afunguka kustaafu muziki
Msanii Krg The Don amedai kuwa hana mpango wa kustaafu muziki hivi karibuni hadi pale tasnia ya muziki nchini Kenya itazalisha takriban mabilionea 10. Kwenye mahojiano na SPM Buzz amesema…
Msanii Krg The Don amedai kuwa hana mpango wa kustaafu muziki hivi karibuni hadi pale tasnia ya muziki nchini Kenya itazalisha takriban mabilionea 10. Kwenye mahojiano na SPM Buzz amesema…
Mwanamuziki wa dancehall nchini Krg The Don ameamua kujitolea kumsaidia mwongozaji wa video nchini Tiger Mind Vision ambaye anadaiwa kuwa hana makaazi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Krg the Don…
Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo kutoka Kenya KRG The Don amekanusha madai yanayotembea mtandaoni kuwa anajihusisha na biashara ya ulanguzi wa pesa bandia (Wash Wash). Akipiga stori na Mpasho…
Mwanamuziki KRG The Don amejipata pabaya kwenye mitandao ya kijamii baada ya wakenya kumshambulia kwa madai ya kuwavunjia heshima kutokana na hatua ya serikali kuondoa ruzuku ya mafuta. Kwenye ujumbe…
Msanii asiyeishiwa na vituko kila leo Krg the Don amejigamba kuwa ana utajiri wa kima cha kati ya shillingi billioni 6 na 8 za Kenya. Katika mahojiano yake bosi huyo…
Ndoa ya Krg The Don na mke wake Linah Wanjiru imevunjika rasmi baada ya miaka 8. Hii ni kufuatia mahakama kutangaza rasmi kwamba Krg anaweza kuendelea na maisha yake ya…
Msanii wa dancehall nchini KRG The Don amefunguka tusiyoyajua kuhusu muziki wake. Katika mahojiano yake hivi karibuni amesema alilazimika kusitisha ziara yake ya muziki nje ya Kenya kwa sababu migogoro…
Msaniii Krg the Don ametoa angalizo kwa mashabiki zake kutofuata au kuamini kile anachokiweka mtandaoni. Katika mahojiano hivi karibu bosi huyo Cash Group Entertainment amesema hayuko mtandaoni kuwafurahisha au kuwashauri…
Msanii wa muziki wa dancehall nchini Krg The Don ameamua kutuonyesha jeuri ya pesa anazozitolea jasho kila kuchao kwenye shughuli zake za kibiashara. Kupitia instastory kwenye mtandao wa instagram Krg…
Mwanamuziki KRG the Don amewatolea uvivu vijana wanaotumia lugha ya Sheng yenye maneno yasiyoeleweka nchini Kenya. Kulingana na KRG, kundi la vijana wanaotumia lugha hiyo ni malimbukeni ambao wana fikra…