KESI YA CARDI B KUWASHUSHIA KICHAPO WAHUDUMU WA CLUB KUSIKILIZWA LEO
Rapa kutoka Marekani Cardi B yuko hatarini kufungwa miaka minne jela kufuatia mashtaka mawili yanayomkabili,ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wahudumu wawili wa club iitwayo Angels-Strip-Club Mwaka 2018 Cardi B alikamatwa…