“MADE IN LAGOS” YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS BILLIONI MOJA
Album ya msanii WizKid kutoka Nigeria, "Made in Lagos" Deluxe Edition iliyotoka Agosti 27 mwaka huu yenye hitsong kama Essence Remix, imefanikiwa kufikisha jumla ya streams Bilioni Moja. Made in…