MAJIRANI ATANGAZA KUACHA MUZIKI KISA KUBEZWA NA WATU.
Msanii wa muziki nchini Majirani ametangaza kuacha muziki rasmi baada ya kukosa support kutoka kwa wakenya. Kupitia waraka mrefu aliouchapisha kwenye mitandao yake ya kijamii majirani amesema ameahamua kuacha muziki…