Manchester United yatangaza kumaliza na Cristiano Ronaldo
Klabu ya Manchester United imetangaza kumalizana na nyota wake Cristiano Ronaldo. Man United imetoa taarifa rasmi usiku huu kwamba, pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na nyota huyo…