Aliyekuwa Shemeji wa Diamond Platnumz aingilia sakata la Marioo kusainiwa WCB
Bado sakata la mwanamuziki Marioo kudaiwa kumuomba Diamond Platnumz amsaini katika record label ya WCB Wasafi linazidi kuibua mapya mengine, baada ya aliyekuwa shemeji wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Msizwa kufichua…