AROMA ATOA POVU ZITO KWA MASTAA WAKUBWA UGANDA, ADAI WANAUA VIPAJI
Msanii wa kike kutoka nchini Uganda Aroma amesikitishwa na namna wasanii wakubwa nchini humo wanaendesha tasnia ya muziki. Akiwa kwenye moja ya interview Aroma amedai kwamba mastaa wengi nchini uganda…