CHRIS BROWN AMUUNGA MKONO KYRIE IRVING KUKATAA KUCHANJWA
Chris Brown amemuunga mkono mcheza Kikapu Kyrie Irving ambaye amegoma kuchanjwa chanjo ya COVID-19. Kupitia Insta Stories yake kwenye mtandao wa Instagram Chris Brown amesema ana simama na nyota huyo…