Mr Seed atuhumiwa kukimbia majukumu ya kumlea mwanaye
Mzazi mwenza wa msanii Mr Seed, Liz Sonia amemtuhumu msanii huyo kwa kukimbia majukumu ya kumlea mwanaye. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Liz amesema Mr. Seed amekuwa akikwepa majukumu yake…
Mzazi mwenza wa msanii Mr Seed, Liz Sonia amemtuhumu msanii huyo kwa kukimbia majukumu ya kumlea mwanaye. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Liz amesema Mr. Seed amekuwa akikwepa majukumu yake…
Msanii kutoka nchini Kenya Mr Seed amekanusha tuhuma za kuwalaghai watu mtandaoni. Akizungumza na Mungai Eve amesema madai hayo hayana ukweli wowote akisema kuwa yeye ni mfanyibiashara na mwekezaji wa…
Staa wa muziki Mr. Seed ameonekana kutofurahishwa na mienendo ya mchekeshaji Eric Omondi ambaye katika siku za hivi karibuni amekuwa akipigania maslahi ya muziki wa Kenya. Kwenye mahojiano na Presenter Ali, Mr.…
Mwanamuziki kutoka Kenya Mr. Seed ametusanua kuwa anakuja na Black Child Deluxe Album version, mara baada ya album hiyo kufanya vizuri mtandaoni. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema ataongeza nyimbo…
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Seed amefichua kuwa waliamua kumaliza ugomvi wao na Bahati kwa manufaa ya watoto wao. Kwenye mahojiano na World IS, Mr. Seed amesema watoto wao walikuwa wakishambuliwa…
Mwanamuziki Avril amefunguka madai ya kuitosa kolabo ya msanii mwenzake Mr. Seed mwaka wa 2021. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Avril amesema hakuweza kufanya kazi ya pamoja na msanii huyo…
Mwimbaji nyota nchini Mr. Seed licha ya kuwa anaendela kufanya vizuri na wimbo wake "Pressure", mkali huyo hataki kupoa, ametumia wikiendi hii iliyopita kurekodi ngoma mpya. Mr. Seed amepost misururu…
Nyota wa muziki nchini Mr. Seed ameweka wazi kuachia remix ya smash hit yake iitwayo "Dawa ya Baridi". Wimbo ambao bado unaendelea kufanya vizuri kupitia majukwaa mbalimbali ya ku-stream muziki…
Staa wa muziki nchini Mr. Seed ameonekana kutofurahishwa na miendo ya mfanyibiashara aliyeugikia siasa Jimmy Wanjigi. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Mr. Seed ameandika ujumbe wa masikitiko kwenda…
Msanii nyota nchini Mr Seed amemuandika waraka mrefu msanii mwenzake Bahati baada ya hitmaker huyo wa ngoma ya Adhiambo kuweka wazi azma yake ya kuwania ubunge wa Mathare kwenye uchaguzi…