PENZI LA WEEZDOM NA MYLEE STAICEY LAVUNJIKA RASMI
Msanii Weezdom hatimaye amethibitisha kuwa yeye na mpenzi wake wa siku nyingi Mylee Staicey sio wapenzi tena. Katika kikao cha Maswali na Majibu kwenye mtandao wa Instagram, shabiki mmoja alimuuliza…