Nadia Mukami akanusha madai ya kufadhiliwa kufungua Saloon
Msanii Nadia Mukami amejitokeza na kukanusha madai kwamba Saloon iliyozinduliwa hivi karibuni imefadhiliwa na mdhamini, na kwamba yeye ni wakala tu wa kutangaza Saloon hiyo. Akizungumza na Nairobi news, Nadia…