INSTAGRAM KULETA FEATURE MAALUM YA KUTOA TAARIFA ZA MATATIZO YA KIUFUNDI YANAYOJITEKEZA
Kufuatia taharuki ambayo imekuwa ikijitokeza kwa watumiaji pale ambapo mtandao wa Instagram unakuwa umekumbwa na matatizo ya kiufundi, sasa mtandao huo umeanza majaribio ya 'feature' mpya ambayo itakuwa ikitoa taarifa…