Meneja wa Otile Brown awapa mapromota utaratibu mpya wa kumpata msanii wake
Meneja wa Otile Brown, Noriega amewapa utaratibu mpya mapromota wa kimataifa watakaompatia msanii wake shows. Kupitia instastory Noriega amewataka wahakikishe kuwa wanamtumia Otile Brown na timu yake ndege binafsi. Aidha…