Nyota Ndogo athibitisha kulipwa pesa zake baada ya kutapeliwa
Msanii mkongwe nchini Nyota ndogo amethibitisha kulipwa pesa zake siku moja baada ya kudai kuporwa na watu waliotumia vyumba vya kulala katika hoteli yake na kisha kutoroka. Kupitia ukurasa wake…