R. Kelly na mchumba wake wapata mtoto
Mwimbaji nguli wa RnB, R.Kelly na mchumba wake, bibie Joycelyn Savage wamepata mtoto wao wa kwanza wakike, aliyepewa jina "Ava Lee Kelly", ambapo wamepata mtoto huyo kwa njia ya upandikizaji.…
Mwimbaji nguli wa RnB, R.Kelly na mchumba wake, bibie Joycelyn Savage wamepata mtoto wao wa kwanza wakike, aliyepewa jina "Ava Lee Kelly", ambapo wamepata mtoto huyo kwa njia ya upandikizaji.…
Mkongwe wa muziki wa RnB kutoka nchini Marekani Robert Sylvester Kelly alimaarufu kama R Kelly ameachia album yake licha ya kuwa gerezani. Licha ya kuachia Album hiyo ya aliyoipa jina…
Mwimbaji mkongwe wa Muziki wa R&B Robert Sylvester Kelly (R Kelly) amekutwa tena na hatia ya makosa 6 kati ya 13 katika kesi zinamkabili ikiwemo kujihusisha na picha za ngono…
Mwanamuziki kutoka Marekani R. Kelly kuanza kupandishwa tena kizimbani, shtaka lake la mwaka 2008 ambalo anakabiliwa nalo kwa kujihusisha na masuala ya kutengeneza maudhui ya ngono kwa watoto (Child Pornography)…
Mwimbaji Robert Kelly maarufu R.Kelly ambaye kwa sasa anatumikia miaka 30 ya kifungo chake gerezani, amekanusha taarifa ya mrembo Joycelyn Savage ambaye ni mhanga katika makosa yake, kudai ana ujauzito…
Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B, R Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly, amepatikana na hatia ya…
Waendesha Mashtaka kwenye Kesi ya R. Kelly wamemtaka Jaji amhukumu mwimbaji huyo kutoka Marekani kifungo cha zaidi ya miaka 25 Gerezani. Hii ni baada ya mwezi Septemba kukutwa na hatia…
Mauzo ya muziki wa R. Kelly yameripotiwa kupanda kwa asilimia 517 tangu akutwe na hatia ya mashtaka ya unyanyasaji wa kingono na mengine. Kwa mujibu wa Rolling Stone, mauzo ya…
Kufuatia mashtaka ya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo na makosa mengine yanayomkabili nguli wa muziki wa R&B duniani, R. Kelly, mtandao wa Youtube umechukua hatua ya kuzifungia channel rasmi…