RAY C ACHUKIZWA NA KITENDO CHA DIAMOND KUZOMEWA MAREKANI
Mara baada ya kuwepo kwa kile kinachoonekana ni kubezana kwa watu waliokaribu na Diamond Platnumz na Harmonize kufuatia show za wasanii hao nchini Marekani, Mkongwe wa Bongofleva, Ray C ametaja…