TWITTER KUWEKA MATANGAZO KATIKA SEHEMU YA REPLIES
Mtandao wa Twitter umeanza majaribio ya kuweka matangazo katika sehemu ya Replies/comments. Ni style mpya ya kuonyesha matangazo katikati ya comments/replies. Inaonekana matangazo yataonekana sana katika Tweets za watu maarufu…