RINGTONE APEWA NOTISI YA SIKU 10 KUONDOKA KWENYE NYUMBA YAKE YA RUNDA
Mwànamziki wa nyimbo za injili nchini Ringtone Apoko amepewa makataa ya siku kumi kuondoka kwenye nyumba anayoishi mitaa ya Runda jijini Nairobi. Kulingana na barua ya kampuni ya mawakili…