DIAMOND AONYESHA SAA YAKE MPYA YA ROLEX YENYE THAMANI YA SHILLINGI MILLIONI 2.8
Staa wa bongofleva Diamond Platnumz ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozitolea jasho. Mkali huyo wa Naanzaje ametumia kiasi cha dolla 25,000 ambazo ni zaidi ya shilling milioni 2.8 kwa pesa ya…