SHATTA WALE ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO
Jeshi la Polisi nchini Ghana limemtia mbaroni mwanamuziki Shatta Wale kwa madai ya kusambaza taarifa zisizo za ukweli kiasi cha kuzua hofu na taharuki kwa jamii. Oktoba 19 mwaka huu…