SHEEBAH AFUNGUKA CHANZO CHA UCHAGUZI WA UMA KUAHIRISHWA
Mwanamuziki Sheebah Karungi amefunguka sababu zilizopelekea uchaguzi wa chama cha wanamuziki nchini Uganda UMA kuahirishwa. Kwenye mahojiano na Bukedde TV Sheebah amesema yeye ndiye aliwashawishi wasanii kususia upigaji kura kwa…