SNOOP DOGG AMUONGEZEA MSHAHARA ANAYEMTENGENEZEA BANGI
Rapper Snoop Dogg amemuongeza mshahara mfanyikazi wake anayemtengenezea bangi (Personal blunt roller) kutokana na mfumuko wa bei. Akizungumza kwenye mahojiano na The Howard Stern Show, Snoop Dogg amesema nyongeza hiyo…