SPICE DIANA AFUNGUKA SIRI YA MUZIKI WAKE KUPENYA TANZANIA
Mwanamuziki Spice Diana ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Uganda waliofanikiwa kupenya kwenye soko la muziki nchini Tanzania. Akizungumza kuhusu kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, mrembo huyo amesema huwa…