KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.
Rapa Khaligraph Jones ametusanua kuhusu changamoto alizokutana nazo katika safari yake ya muziki ambayo ilimpelekea kutaka kuchukua maamuzi magumu kwenye maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa…