Tanasha Donna awapa somo mashabiki juu ya usafi
Mwimbaji wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna amesistiza usafi kwa wanaume na wanawake. Tanasha amesema kwa mtu yeyote haijalishi anapitia changamoto gani katika maisha, lakini ahakikisha unanukia vizuri popote…