Twitter yafanya mabadiliko katika sehemu ya search
Twitter imefanya mabadiliko katika sehemu ya search. Sasa hivi unaweza kuona thamani ya hisa na cryptos katika sehemu ya Search. Mfano ukitaka kutazama thamani ya hisa za Apple kwa sasa…
Twitter imefanya mabadiliko katika sehemu ya search. Sasa hivi unaweza kuona thamani ya hisa na cryptos katika sehemu ya Search. Mfano ukitaka kutazama thamani ya hisa za Apple kwa sasa…
Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake. Sasa hautaweza tena kuona (Tweet for iPhone au Tweet for Android) kwenye Tweets. Uamuzi…
App ya Twitter inaongeza sehemu mpya katika option za ku-retweet ambayo itaitwa “Quote Tweet with reaction”. Sehemu hii itawezesha watumiaji kuonyesha reaction zao katika Tweet kwa kutumia video au picha.…
Mtandao wa Twitter umeanza majaribio ya kuweka matangazo katika sehemu ya Replies/comments. Ni style mpya ya kuonyesha matangazo katikati ya comments/replies. Inaonekana matangazo yataonekana sana katika Tweets za watu maarufu…