BUCHAMAN ATOA WITO KWA SERIKALI YA UGANDA KUMLIPIA KODI
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Buchaman alifurushwa nyumbani kwake mapema wiki iliyopita kutokana na malimbikizi ya kodi ya zaidi ya miezi sita. Kutokana na hilo Mwanamuziki huyo kwa sasa ametoa wito…