WHATSAPP MBIONI KUJA NA UWEZO WA KUENDELEA KUSIKILIZA VOICE MESSAGES HATA UKIWA UMEFUNGA CHATS
App ya WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka mfumo mpya wa “Voice Message au Notes”. Mfumo huo mpya utawezesha watumiaji kuendelea kusikiliza Voice Message hata ukiwa umefunga chat na kufungua chat…