WILLY PAUL AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA
Staa wa muziki nchini Willy Paul amewatolea uvivu mapromota wa muziki nchini kwa madai ya kuwadhulumu wasanii wa kenya wanapowaalika wasanii wa nje kufanya matamasha ya muziki nchini. Kupitia ukurasa…