Wizkid atangaza kufanya tamasha kubwa la muziki, London Uingereza
Msanii wa Nigeria Wizkid rasmi ametangaza onesho lake ambalo litafanyika katika uwanja wa Klabu ya Tottenham Hotspur, Jijini London Uingereza. Kwenye tangazo hilo ambalo limeiteka mitandao yote duniani kwa sasa,…