Nyota wa muziki nchini Tanasha Donna amefunguka kuwa awali alilazimshwa kufanya mziki ambao hakumpenda ilipata watazamaji wengi wa haraka kwenye mtandao wa youtube.
Kwenye kikao cha maswali na majibu aliyokuwa anafanya na mashabiki zake kwenye mtandao wa Instagram, Tanasha amesema kuwa sababu kuu ni kuwa amebadilisha aina ya mziki anaofanya na ni mziki anaopenda kando na alivyokuwa anafanya mziki wa awali kwa kulazimshwa.
Kauli ya Tanasha donna inakuja mara baada ya Shabiki kuhoji iwapo anaridhika na jinsi mtandao wake wa youtube ulivyo kwa sasa na ni kwanini nyimbo zake hazipati viwers wengi kama awali