You are currently viewing TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

Mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Tems amekumbuka kipindi ambacho aliwekwa gerezani mwishoni mwa mwaka 2020 nchini Uganda.

Kupitia akaunti yake ya Twitter Terms ameandika “ Nyakati kama hizi mwaka jana nilikua gerezani na watoto na kina mama nchini Uganda. Sitaki kuamini vitu nilivyo viona”

Ikumbukwe Terms pamoja na mwanamuziki omahlay walitiwa mbaroni nchini Uganda baada ya kukiuka masharti ya COVID-19 na kufanya onyesho ambalo lilipelekea wawili hao kupelekwa gerezani

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke