Mwanamuziki kutoka Canada The Weeknd ametishia kujiondoa kwenye orodha ya wasanii kinara ambao wametajwa kutumbuiza kwenye tamasha la Coachella.
Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, The Weekd amedai kuwa hatotumbuiza kwenye tamasha la Coachella kama atalipwa shillingi billioni za Kenya ambazo Kanye west alipaswa kupewa.
Kauli ya the Weeknd inakuja siku chache baada ya kutajwa na kundi la Swedish House Mafia kuwa watatumbuiza kwenye tamasha la Coachella, kuchukua nafasi ya rapa Kanye West ambaye alijiondoa kwenye orodha ya watumbuizaji kinara wa tamasha hilo.
Tamasha la Coachella litaanza April 15 hadi 24 mwaka huu nchini Marekani.