You are currently viewing TORY LANEZ ADAI DRAKE NA THE WEEKND WANAMBANIA KOLABO

TORY LANEZ ADAI DRAKE NA THE WEEKND WANAMBANIA KOLABO

Rapa Tory Lanez ameweka wazi kwamba Drake na The Weeknd wamekuwa wakimbania kolabo kila anapojaribu kuwacheki.

Mkali huyo kutoka Canada kupitia Twitter aliandika ujumbe unaosomeka “Nimekuwa nikiwatumia nyimbo kwa miaka sasa, lakini hakuna hata mmoja aliyekubali.”

Tory Lanez amefunguka hayo alipokuwa akijibu swali la shabiki mmoja ambaye aliuliza kama kwenye Album yake mpya kutakuwa na kolabo ya Drizzy au The Weeknd.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke