Staa wa muziki wa bongofleva, msanii Tundaman ameachia Extended Playlist (EP) yake mpya inayokwenda kwa jina la “2022” yenye jumla ya ngoma saba.
Kwenye EP hiyo, Tundaman awameshirikisha wasanii kama Ali kiba, Chidibeenz , Nay wa Mitego, Darassa na Spack.
Ngoma zinazopatikana kwenye EP hiyo ni pamoja na “Badman”, “Kizaazaa”, “Mchawi Ndugu”, “Vita Ni Vita”, “Nimeahindwa”, “Sawa”, “Nipe Ripoti II” na itapatikana exclusive kupitia Boomplay.