You are currently viewing Twitter rasmi yaondoa utambulisho wa vifaa vya simu kwa watumiaji wake

Twitter rasmi yaondoa utambulisho wa vifaa vya simu kwa watumiaji wake

Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake. Sasa hautaweza tena kuona (Tweet for iPhone au Tweet for Android) kwenye Tweets. Uamuzi huu umekuja mara baada ya mmiliki mpya Elon Musk kushika hatamu.

Mwezi November mwaka huu Elon Musk alitangaza kuwa atafanya mabadiliko hayo kutokana na kuwa utambulisho huo unafinya nafasi “Waste of screen space” na hakuna anayefahamu sababu ya kwanini utambulisho huo uliwekwa.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke