Twitter inaunganisha mfumo wake wa Live-stream na mfumo wa kufanya manunuzi.
Twitter imeshirikiana na Walmart katika kuanzisha mfumo wa kuwezesha watu kununua vitu katika livestream na Jason Derulo akielezea kuhusu bidhaa mbalimbali.
Mfumo huu utawezesha content creators kuweka bidhaa zao katika Livestreams na watu watakuwa na option ya kununua vitu katika Livestreams. Mfumo mpya ni sehemu ya majaribio na itakuwa inafanana na YouTube Shopping.