You are currently viewing UHUSIANO WA KANYE WEST NA MPENZI WAKE JULIA FOX WAINGIWA NA UKUNGU, WAMERIPOTIWA KUACHANA

UHUSIANO WA KANYE WEST NA MPENZI WAKE JULIA FOX WAINGIWA NA UKUNGU, WAMERIPOTIWA KUACHANA

Siku ya Valentine’s Day imeenda vibaya kwa rapa Kanye West na mchumba wake Julia Fox. Wawili hao wameripotiwa kuachana rasmi baada ya miezi miwili ya kuwa penzini.

Chanzo cha karibu kimeuambia mtandao wa TMZ kwamba YE na Fox wamebaki tu kuwa marafiki na washirika kwenye masuala mengine.

Kuisindikiza siku ya Valentine’s, Kanye West amemtumia Kim Kardashian maua ya kutosha kwenye gari lililofika hadi nyumbani kwake.

Rapa kanye west Ni kama bado anatamani kurudiana na Baby mama wake kim kardashian Kwa sababu anazidi kuja na matukio mbalimbali kila kukicha.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke